Radio
06:00 - 06:30
Marekani kufuatilia kwa karibu namna Iran itakavyotumia dola bilioni 6 zilizotolewa kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa
Marekani imeahidi kufuatilia kwa karibu namna Iran itakavyotumia dola bilioni 6 zilizokuwa zimeshikiliwa ikiwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa, baada ya Rais wa taifa hilo Ebrahim Raisi kusema kwamba ni juu ya Tehran kuamua fedha hizo zitakavyotumika.
21:00 - 21:29
Mataifa yaliyokuwa yanatunga sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja yameingiwa na uoga baada ya Uganda kunyimwa mkopo
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.