Shambulizi la droni Jumapili kwenye soko moja la wazi kusini mwa mji mkuu wa Sudan, Khartoum limeua takriban watu 43, wanaharakati na makundi ya kimatibabu wamesema.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.