Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Vijana Kenya waeleza changamoto zao kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Viongozi wa nchi na serikali kutoka kote duniani pamoja na wadau wengine wanakutana mjini New York wiki hii kujadili masuala mbalimbali wakati wa kongamano la 78 la jumuiya hiyo.