Msururu wa mapinduzi katika ukanda wa Afrika Magharibi unaweka umoja na uwezo wa jumuiya ya kikanda ya ECOWAS, katika mtihani, huku ikijaribu kurejesha utawala wa kiraia katika nchi kama vile Burkina Faso, Guinea, Mali na Niger.
Serikali Uganda yaitaka Polisi kutafuta suluhu ghasia za majumbani wachambuzi wataka zaidi kufanyika
Maelfu ya watu wanaaminika wamefariki kutokana na mafuriko nchini Libya
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.