Maudhui ya muswada huo yatatolewa Jumatano asubuhi na kufuatiwa na kura katika Baraza la Seneti.
“Afrika inaweza kupoteza nusu ya pato lake la taifa kwa kuanguka kwa ukuaji wa uchumi kwa sababu kadhaa ikiwemo kusambaratika kwa mifumo ya usambazaji bidhaa ya kimataifa,” amesema Katibu Mtendaji wa ECA
“Pande zote zinatambua kuwa kuna mpasuko. Tuangalie kama wataweza kufikia suluhu leo,”
mkakati uliobora zaidi, na ule ambao wanashauri serikali iufuate, amesema, “ni kujikinga na kupunguza madhara ambayo yatasababishwa na virusi hivyo kwa bara la Afrika.”
Virusi vya corona tayari vimewasili katika nchi 159, ambapo maambukizi yaliyopimwa yamefikia 185,000 na vifo ni 7,500, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO).
Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa watu milioni 2.5, nusu ya hao watoto, wanahitaji msaada wa kibinadamu ili kuendelea kuishi.
Lakini, kuanzia wiki hii, China imerikodi idadi ya chini ya maambukizo mapya na viwanda vinafunguliwa kote nchini humo.
Mwandishi wa habari wa Israeli Amotz Asael anasema Netanyahu ameshinda, lakini anasafari ndefu ya kisiasa mbele yake.
“Huwezi kumshinda Trump na siasa zile zile za zamani. Tunachohitaji ni siasa mpya zinazoleta tabaka ya wafanyakazi katika harakati zetu za siasa,"
Utafiti unaonyesha Biden anaongoza katika majimbo saba katika kinyang’anyiro hicho cha Jumanne, Sanders katika majimbo sita...
Majambazi yenye silaha yameua watu wasiopungua 50 katika vijiji kadhaa vilivyoko katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa Nigeria Jumapili, kwa mujibu wa maelezo ya polisi na wakazi wa eneo hilo.
Wadhibiti wa serikali kuu Marekani wameruhusu mahospitali na vituo vingine vya upimaji wa magonjwa kuanzisha vipimo vyao wenyewe vya kugundua kirusi cha corona.
Rais wa Marekani Donald Trump, akiwa na Makamu wa Rais Mike Pence na uongozi wake unaoshughulikia mlipuko wa virusi vya corona, Jumamosi alijaribu kulipa moyo taifa juu ya hatua zinazochukuliwa wakati kifo cha kwanza kinachotokana na ugonjwa huu mpya kutangazwa.
Kama ilivyo kwa waathirika wengi wa vita katika eneo la Darfur, Eisa anailaumu serikali ya rais wa zamani Omar al-Bashir kuhusika na vita hivyo
Serikali ya Burundi imesema Jumanne imewaua “wahalifu” wasiopungua 22 katika eneo la milimani linalokabili mji mkuu wa Bujumbura tangu wiki iliyopita, katika kile ilichoeleza kuwa ni uhalifu unafungamana na uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Mei 2020.
Salva Kiir pia amemteua Rebecca Nyandeng, mjane wa mwanzilishi wa taifa hilo John Garang, kuwa moja kati ya makamu wa rais watano, akiwemo Machar, Wani Igga, taban Deng Gai, na mtu mmoja zaidi ambaye bado hajatajwa.
Katika kujibu mashambulizi na kwa ombi la Saudi Arabia, Marekani imepeleka mfumo wa kuzuia mashambulizi ya makombora, na ndege za vita
Kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imesema kampuni yake inatafakari kuipatia kandarasi kampuni kuu ya mawasiliano ya China ya Huawei kutekeleza mradi wake wa mtandao wa 5G mwaka 2020.
Polisi wamethibitisha kuwa abiria wanne wauawa katika shambulizi la Mandera.
Pompeo : Huu ni wakati muhimu katika historia ya Angola ambapo biashara, asasi za kiraia na wananchi wa Angola wako tayari kwa mabadiliko.
Pandisha zaidi