“Inatia huzuni.”“Watu wengi wanauwawa Yemen – ni janga kubwa na hakuna uhalali wowote hilo kutokea. Miaka mitano ya mgogoro huu na pande hasimu bado wanashindwa kuwajibika,”amesema Grande
Katibu Mkuu wa UN : "...sote kwa pamoja tutambue nguvu himilivu ya radio katika kuhamasisha ushiriki wa watu mbalimbali na kujenga dunia yenye amani..."
Bajeti yake ya hivi sasa anayopendekeza... siyo rahisi, kwa mara nyingine, kupitishwa, hususan katika mwaka huu wa uchaguzi.
Maafisa wa Palestina : Rais Mahmoud Abbas wa Palestina yuko njiani anaelekea Umoja wa Mataifa kulishinikiza Baraza la Usalama kuulaani mpango huo wa amani.
Pia Hong Kong imetangaza abiria wote 3,600 pamoja na wafanyakazi waliokuwa wamewekwa karantini katika meliya World Dream, wataruhusiwa kuondoka.
Rais Uhuru Kenyatta Jumamosi ametoa wasifu wa pongezi kwa Rais wa zamani Daniel Toroitich arap Moi wakati akizundua shughuli za mazishi rasmi ya kiserikali kabla ya mwili wa Rais wa pili wa Kenya kwenda kuzikwa.
Mlipuko huo hadi sasa umeathiri watu zaidi ya elfu 31,000 kote duniani, ukisababisha marufuku ya safari na watu kuwekwa katika karantini.
Hotuba yake ya Hali ya Taifa inakuja baada ya kesi ya jaribio la kumuondoa madarakani kufanyika.
Mahakama ya kikatiba nchini Malawi Jumatatu imefutilia mbali uchaguzi uliompa ushindi Rais Peter Mutharika mwezi Mei 2019, na kuagiza uchaguzi kurudiwa tena.
Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha idadi iliyothibitishwa ya wagonjwa wenye kirusi hicho kukaribia 12,000, ikiwemo vifo 259...
Wolf amesema nchi sita zimeshindwa kukidhi viwango vya kubadilishana taarifa na masuala ya kiuslama, iliyopelekea umuhimu wa katazo hili jipya.
“Jerusalem haiwezi kuuzwa. Haki zetu zote haziwezi kuuzwa na siyo za kujadiliwa. Na mpango wako, hujuma hiyo, haitapitishwa,” Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amesema
Hatua ya kwanza ya kuwaondoa raia wa kigeni kutoka China ilianza Jumatano wakati idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa kirusi Corona ikifikia watu 132 na mataifa mengi zaidi yanaweka katazo kali la kusafiri kwenda China bara.
Kitengo cha kushughulikia maafa Uturuki kimesema Jumatatu idadi ya waliokufa kufuatia tetemeko la ardhi lenye nguvu imeongezeka kufikia 39.
China : "Uwezo wa serikali wa kufahamu kirusi hiki kipya ni finyu na hawajui hatari zinazoweza kuambatana na kubadilika kwa kirusi hiki,"
Muongozo kutoka CDC unashauri kuwa watu ambao walikuwa wamekaribiana katika harakati za kawaida na wagonjwa wenye kirusi “hatari ni ndogo” ya kupata maambukizo.
Tetemeko hilo limeuwa watu 20 na kujeruhi zaidi ya watu 1,000 mashariki mwa Uturuki,
Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China inasema idadi ya waliokufa kutokana na kirusi hicho kipya imefikia watu 41
Viongozi wa Bunge la Marekani Alhamisi wakijadili hatua zinazofuata katika Baraza la Seneti wakati tayari Baraza la Wawakilishi limemfungulia mashtaka Rais Donald Trump.
Katika hotuba yake aliikosoa Marekani na Washirika wake wa Ulaya ikiwemo Uingereza, Ufaransa na Ujerumani.
Pandisha zaidi