Amesema kwamba kifo cha Jenerali Qassem Soleimani, ni pigo kubwa kwa vita dhidi ya kundi la kigaidi la Islamic State
Mapumziko ya siku ya kumbukumbu ya taifa ya Martin Luther King itakayo adhimishwa Jumatatu itawapa wajumbe hao muda huo wa kutafakari.
Mashataka hayo yatasomwa Alhamisi mbele ya baraza la maseneta 100
Biden alikosolewa na Seneta wa Vermont Bernie Sanders juu ya kuunga kwake mkono vita vya Iraq.
Ripoti : “Kitu kingine tulichokiona ni kurudi nyuma kwa serikali katika hatua iliyopiga kuimarisha uhuru wa kisiasa na kiraia.”
“Sisi tunazo silaha zenye nguvu zaidi na jeshi lililokuwa na vifaa vya kutosha kuliko nchi yoyote duniani, kwa kiwango kikubwa! alisema Trump.
Simulizi ya mwongozaji filamu wa Kiingereza Sam Mendes kuhusu Vita vya Dunia vya kwanza “1917” kutoka shirika la Universal Pictures ilishinda tuzo ya picha bora
“Hatutaondoka mpaka watulipe gharama za ujenzi wa kambi hiyo,” amesema Trump,
Msemaji wa jeshi la Kenya amesema katika tamko lake kuwa washambuliaji watano waliuawa.
Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kulipiza kisasi kufuatia kuuliwa kwa Qassem Soleimani.
Jeshi la Kenya limesema Al-Shabaab walivamia uwanja wa ndege wa Manda na sio kambi ya jeshi ya Simba
Trump alimlaumu Soleimani kwa kusababisha vifo vya maelfu ya Wamarekani, Wairaqi na Wairan...
Soleimani ndiye aliyekuwa mpangaji wa sera ya Iran katika eneo hilo akiwakusanya wanamgambo kote nchini Iraq , Syria na Lebanon,
Nancy Pelosi amesema shambulizi hilo limefanywa “bila ya kutaka ushauri kutoka Bunge la Marekani na ni kitendo cha hatari
Wanasiasa wa upinzani wameituhumu NISA “kwa kuupotosha umma” katika tuhuma za hivi karibuni.
Juhudi za kurejesha mahusiano kati ya Rwanda na Uganda mpaka sasa hazijazaa matunda wakati mazungumzo ya kidiplomasia yaliyomalizika wiki mbili zilizopita yaligonga ukuta
Kati ya wale waliouawa katika mlipuka ni pamoja na wanafunzi wa vyuo vikuu, wanawake, watoto...
Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari lililipuka wakati harakati katika eneo la makao makuu ya nchi hiyo zikiwa zimeshika kasi.
UN imesema wahamiaji kutoka Ethiopia ni kati ya raia 17 waliouawa katika tukio hilo Jumanne...
Takriban Wamarekani 6 kati ya Kumi wanasema wanasubiri kushiriki katika mila za kifamilia mwaka 2019, wakati mtu mmoja kati ya 10 wanasema wanasubiri kushiriki lakini kwa wasiwasi mkubwa.
Pandisha zaidi