Jenerali Raymond :"Uongozi wa Marekani katika anga za juu utawavutia wengine ulimwenguni.
Katiba ya Marekani inaainisha kuwa Baraza la Seneti ni lazima liendeshe kesi, lakini kuna tofauti kubwa kati ya viongozi wa Wademokrat na Warepublikan
“Tunahitaji kurejesha hadhi ya ofisi ya urais,” amesema Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden...
“Serikali nyingi za nchi za Kiafrika zimeendelea kueleza kuwa maudhui yaliyoko katika intaneti ni ‘habari feki’ ikiwa ni msingi wa kuzuia habari kusambaa...
White House : “Leo ndiyo kilele cha tukio la kuaibisha la kisiasa katika Baraza la Wawakilishi katika historia ya taifa letu. Imesema hatua hiyo ni “mashtaka ya uongo."
“Ukweli haupingiki,” Pelosi amesema. “Rais ametumia mamlaka yake vibaya kwa maslahi binafsi ya kisiasa kwa gharama ya usalama wa taifa letu."
Waziri wa Ulinzi Lemma Megerssa amesema hali ya kutokuwepo utulivu nchini inaonyesha siyo wakati muwafaka kuunda chama cha siasa kipya.
“Soko la ajira halitoi fursa sawa kwa wanawake. Kwa mfano, huko Afrika Mashariki, wanawake inawalazimu kufanya kazi hatarishi zaidi…
Taylor amesema msaidizi huyo alisikia mazungumzo hayo yaliyokuwa yanajiri kati ya Trump na Gordon Sondland,
Mwenyekiti Adam Schiff (Katikati), Mdemokrat wa California, akitoa tamko la utangulizi wakati wa mahojiano ya kwanza yanayofanyika hadharan.
"Ukuta wa Berlin, mabibi na mabwana, ni historia na unatufundisha : hakuna ukuta utakao wazuia watu na kuzuia uhuru wao ni mrefu sana au mpana sana kwamba hautaweza kuangushwa,"
Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti inaleta changamoto nyingine katika malezi hayo.
Schiff amesema Wamarekani watapata nafasi ya “kuyapima madai hayo” dhidi ya Trump.
Jaji Mkuu amefichua madai ya hujuma ya siri inayofanywa na viongozi wa serikali kumuondoa madarakani kabla ya kufika Disemba 31, 2019.
Kati ya nchi hizo Somalia inaongoza katika orodha hiyo kwa mwaka wa tano mfululizo.
Kiongozi wa Labour Corbyn mara moja alituma ujumbe wa Tweet akimshutumu Trump kwa “ kujaribu kuingilia kati uchaguzi wa Uingereza..."
Trump amesema Marekani itaendelea kuhakikisha inamaaliza kikundi hiki na kukitokomeza kabisa.
Mvutano wa kisiasa katika mji wa makao makuu ya Marekani wakati wote hupamba moto ambapo Wademokrat wakiwa wanaendesha uchunguzi unaotaka kumuondosha Rais Donald Trump madarakani,
Walikuwa wanasafiri kuelekea Bubanza baada ya kupokea taarifa za mapigano yaliotokea kati ya kikundi chenye silaha na majeshi ya jimbo hilo.
Wanasarakasi na wanamuziki wakijumuika katika ufunguzi wa maonyesho ya Winter Wonderland mjini Riyadh Saudi Arabia wakati msimu wa baridi ukianza nchini humo.
Pandisha zaidi