Harry amesema kumbukumbu ya kifo cha Princess Diana ilikuwa bado ingaliipo kila siku inavyokucha na sio kwamba yeye mwenye kuwa na hofu…”
“Mashambulizi ya bunduki, vifaru na silaha nzito pamoja na mashambulizi ya anga yaliendelea bila ya kusita,” limesema tamko la wapiganaji wa SDF.
“Turkey itakuwa na furaha, Wakurdi watakuwa na furaha, ISIS itakuwa na huzuni,” Trump alisema, akitumia jina la mkato la kikundi cha kigaidi cha Islamic State.
Bado italazimu pande zote mbili za mabunge ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuyapitisha makubaliano hayo.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani pia imesema haina uwezo kutoa ushirikiano kwa muda huu kutokana na sababu za kisheria.
Duflo ni mwanamke wa pili kupata tuzo kwenye fani ya uchumi katika historia.
Maafisa wanne wa polisi wa Ufaransa Alhamisi waliuawa kwa kushambuliwa na kisu ndani ya makao makuu ya polisi Paris, afisa wa umoja wa polisi amesema.
Mtoa taarifa alifungua malalamiko akieleza wasiwasi wake juu ya Trump kuomba nchi ya kigeni kuingilia kati uchaguzi wa mwaka 2020
Unajua tulikuwa tunafanya nini zamani wakati tulipokuwa mahiri? Sawa? Majasusi na wahaini, sawa? Tulikuwa tukichua hatua tafauti na kile tunachofanya leo," Trump alisema Alhamisi.
Likud imesema Netanyahu atafanya “juhudi ya mwisho” kufikia makubaliano kabla ya kumfahamisha Rais Reuven Rivlin ameshindwa kuunda serikali.
Madai hayo yaliyokuja kwa ghafla yamepelekea Spika wa Baraza la Wawakilishi Nancy Pelosi wiki hii
Waziri wa Mambo ya Nje Israel Katz atahutubia Umoja wa Mataifa mchana kwa niaba yake.
Greta Thunberg : Sayansi imekuwa ikiweka wazi (athari za uharibifu wa mazingira) kwa miaka 30, lakini bado viongozi hawajachukuwa hatua za kutosha.
Hata hivyo Tanzania imesema kuwa haina mgonjwa yoyote anayeshukiwa kuwa na Ebola au kuthibitishwa kuwa na virusi.
“Ulazima wa kuchukuwa hatua hauwezi kuwa wazi zaidi ya hivi, na ndiyo maana nimeitisha mkutano huu wa kutafuta suluhisho la mabadiliko ya tabia nchi.”
Trump alituma ujumbe wa Tweeter “mkutano mzuri” na kuposti picha wakiwa katika ofisi ya Oval, White House.
Mkutano huo na Trump inawezekana ukatoa fursa ya kwanza ya kufikiwa maamuzi kuwa Marekani ijibu vipi shambulizi lililofanyika dhidi ya mshirika wake mkuu Mashariki ya Kati.
Gantz amesema hatoungana kuunda serikali ya umoja iwapo Netanyahu atabakia kuwa mkuu wa chama cha Likud.
Pompeo : “Haya ni mashambulizi yaliyofanywa na Iran”...
Amewaambia kuwa atafanya bidii zote kuunda serikali madhubuti yenye mrengo wa kizayuni ambayo itawatenga Waarabu.
Pandisha zaidi