Trump : "Tuko tayari kujibu mashambulizi lakini itategemea na uthibitisho utakaopatikana,"
Lakini sheria hiyo (IEEPA) pia inalinda haki za Wamarekani katika kubadilishana habari na watu wa mataifa ya kigeni waliowekewa vikwazo
Africa Kusini inafanya tathmini juu ya vifo vilivyotokea katika wiki ya vurugu dhidi ya wahamiaji, ambapo vyombo vya usalama vinasema watu kumi waliuawa, na wengine wengi kujeruhiwa na kusababisha taharuki baina yake na nchi nyingine za Afrika.
“Ninawakaribisha nyote mje katika maombi yangu ili Mungu, Muumba wa kila kitu, aimarishe maelewano, undugu nchini Msumbiji na Afrika nzima..."
“ Iwapo ninaweza kuchagua, kitu cha kwanza ni kujiuzulu, kuomba msamaha wa kweli ni kuwa nijiuzulu.”
Wabunge walioasi wanaweza kuchukua hatua baada ya kushinda kura 328 kwa 301 zilizopigwa Jumanne katika Bunge la Uingereza
Rais wa Marekani Grover Cleveland hakutaka kuchagua siku ya tarehe halisi ya Mei Mosi kwa sababu ya kuhusishwa siku hiyo na mlipuko wa bomu huko Haymaker,
IATA : Soko la Afrika linatabiriwa kuwa litakua kufikia asilimia 5 kwa mwaka kwa kipindi cha miongo miwili ijayo kwa ubebaji abiria...
Mara ya kwanza alikuwa Angola kwa miaka minne. Aliweza kudunduliza fedha, anasema, kwa kufanya kazi saloni ya kusuka nywele pamoja na kutunza.
Lakini mahakama kuu ilitoa uamuzi Alhamisi kwamba rais wa zamani huyo ahukumiwe tena kwa mashtaka ya rushwa pembeni ya mashtaka mengine.
Jeshi la polisi la jiji hilo Alhamisi walikataa kutoa kibali kwa kikundi cha wanaharakati cha Civil Human Rights Front...
Bango nyuma ya jukwaa katika bustani ya umma iliyoko katikati ya mji lilisomeka kama “Sitisheni ufukuzaji kazi” na “Acheni kuwatishia wafanyakazi wa CX,”
Katika kuwalenga wafanyabiashara, walitumia mbinu maalum inayoitwa “Udukuzi wa email za biashara,” ambazo pia zinajulikana kama CEO fraud.
Trump alikataa kutoa maoni yake iwapo alikuwa anawasiliana moja kwa moja na Rais wa China Xi Jinping,
“Rais amesaini amri ya kiutendaji na tutanza kazi mara moja.”
Mkutano wa G7 hautakuwa na taarifa ya pamoja mwaka huu wakati utakapomalizika.
Pia mkutano huo utaangaza mabadiliko ya tabia nchi, mgogoro wa Iran na ushuru.
Kwa karne kadhaa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1400, wafanyabiashara ya utumwa Wareno katika eneo ambalo ni Angola hivi leo walihusika na biashara haramu ya kusafirisha binadamu kupitia bahari ya Atlantic.
Maelfu ya raia wa Kenya wanaoishi katika msitu wa Mau uliopo katika bonde la Ufa huenda wakajikuta bila makazi baada ya serikali ya Kenya kueleza kuwa mpango wa awamu ya pili wa kuwaondoa watu waliojinyakulia vipande vya ardhi katika msitu huo umekamilika.
Israeli : "Mbunge Tlaib, atalazimika kuheshimu vizuizi vyovyote atakavyowekewa na hataruhusiwa kueneza misimamo pingamizi wakati wa ziara yake."
Pandisha zaidi