Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu.
Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,