Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 21, 2024 Local time: 18:56

Uchaguzi wa Marekani 2024


 Uchaguzi wa Marekani 2024
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:01 0:00

Mamilioni ya Wamarekani Jumanne wanatarajiwa kumchagua mrithi wa Rais Joe Biden na wabunge wapya katika siku ya mwisho ya kupiga kura kwa uchaguzi wa Marekani Novemba 5.

Kinyang’anyiro cha kuingia White House, ni kati ya Makamu Rais Kamala Harris na Rais wa zamani Donald Trump, zaidi ya Wamarekani milioni 80 waliojiandikisha kupiga kura, hadi kufikia Jumatatu walikuwa tayari wamepiga kura zao kwa kutumia mfumo wa upigaji kura wa mapema, kulingana na vyanzo mbalimbali vya habari, likiwemo Shirika la habari la Associated Press.

Fuatilia kupitia idhaa ya Kiswahili ya VOA katika Facebook, X and YouTube kufahamu zaidi kuhusu uchaguzi wa 2024 Marekani na uendelee kupata taarifa mpya kadri zinavyotokea.

#harris #trump #uselections #voaelections #voaelections2024

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG