Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 11:38

Je, waganga bado ni daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na kiroho⁣


Je, waganga bado ni daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na kiroho⁣
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:07 0:00

Nchini Ghana, waganga wa kienyeji, ambao hapo awali waliheshimiwa kama wapatanishi na waponyaji wa kiroho, wanakabiliwa na maswali kuhusu umuhimu wao katika nyakati za sasa.

Kijadi huonekana kama daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na wa kiroho, waganga hawa walipata heshima kubwa katika kabila la Akan. Nana Manu, Mganga wa Kienyeji katika jumuiya ya Fumesua, anaeleza hadithi yake kama waganga hao bado wanashikilia hadhi yao katika jamii ya kisasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG