Matokeo ya majaribio ya dawa hiyo yamepongezwa na Dkt Anthony Fauci, mkurugenzi wa Kituo cha Magonjwa ya Hasasia na Maambukizi, kuwa ni jambo “linaleta matumaini sana.”
Kampuni ya Airbus imetangaza matokeo ya robo ya kwanza ya biashara yake, ikisema imepoteza dola za Marekani milioni 522...
“Hakuna maambukizi yalioenea, na kushindwa kutambuliwa katika jamii nchini New Zealand,” Ardern ametangaza. “Tumeshinda vita hiyo.”
wakazi wa mji wa New York wataweza kuanza kupimwa katika maduka ya dawa yaliyoko karibu na maeneo yao wanayoishi, Gavana wa New York Andrew Cuomo amesema Jumamosi.
Jukwaa la kimataifa linalozileta pamoja serikali na magavana wa mabenki kutoka nchi 19 na Umoja wa Ulaya, nchi za G-20 zimekwisha kusanya dola bilioni 1.9
Ameongeza kuwa : “Yote yale tunayofanya, tusisahau : Tishio ni virusi na siyo watu.”
Zimbabwe yaongeza muda wa watu kutotoka nje kwa wiki mbili, ambao ulikuwa umalizike Jumapili.
“Nyote mnapaswa kukumbuka kuwa tutavuka katika hili mwishoni, kila kitu kitakuwa sawa, inaweza kuchukuwa muda,” Moore alisema. “Mwisho wa siku sote tutavuka salama.”
Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA) limetoa makadirio yake Jumatano yakionyesha kushuka kwa mahitaji ya mafuta katika mwezi wa Aprili kwa mapipa milioni 29 kwa siku,
Dkt Tsion Firew, Mhadhiri wa Tiba ya Dharura, Chuo Kikuu cha Columbia azungumzia nini familia yapaswa kuzingatia panapo kuwa na maambukizi nyumbani.
Trump anasema anapendelea kuona shughuli zote zinaanza kama kawaida ifikapo Mei 1.
Mamilioni ya watu duniani wanashiriki katika ibada ya Ijumaa Kuu, siku ambayo Wakristo wanaamini Yesu alisulubiwa msalabani huko Jerusalem.
“nchi nyingi zilizoathirika na vita na kusambaratishwa hawana chochote cha kuanzia kukabiliana na maradhi hayo."
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumapili kumekuwa na vifo vitiate vipya na maambukizi zaidi ya 23.
Hadi Alhamisi idadi ya vifo duniani kutokana na virusi vya corona imefikia 1,098 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa na vifo 2 katika idadi hiyo.
Afisa wa ngazi ya juu wa Saudi Arabia amewataka wale wanaopanga kwenda hija kuahirishwa uamuzi huo kwa hivi sasa.
Trump amesema alikuwa amewaagiza CDC “ Kutoa ushauri makini wa kusafiri utakaosimamiwa na magavana, wakishauriana na serikali kuu.”
Trump: "China imepitia mengi na imeweza kujenga uelewa mkubwa wa virusi hivi. Tunashirikiana kwa karibu. Tunawaheshimu sana!”
Waziri wa Afya Zweli Mkhize amethibitisha vifo hivyo, akisema marehemu wote hao walifia Magharibi mwa Cape province.
Iwapo hilo litatokea basi huenda mlipuko utakaporejea virusi hivyo vikawa na nguvu kubwa zaidi ya maambukizi iwapo tahadhari zinazo stahiki hazitachukuliwa.
Pandisha zaidi