Kura ya maoni juu ya kukubalika kwa Waziri Mkuu Abe zinaonyesha kushuka kwa sababu ya kuchelewa kwake kuchukua hatua dhidi ya janga hilo.
Kipimo cha hisa cha Tokyo Nikkei kilifunga biashara kikiwa asilimia 1.7 juu baada ya taarifa kwamba serikali ilikuwa tayari kuondoa hali ya dharura mjini Tokyo.
Ikiathiri hata zaidi sherehe za kidini, katika nchi nyingi hasa Mashariki ya Kati – kutoka Saudi Arabia mpaka Misri, Uturuki na Syria –nchi hizi zimekataza ibada zenye mikusanyiko
Ameongeza kuwa Kenya haiwezi kuendelea kuwa chini ya masharti ya kufunga shughuli zote na amri ya kutotoka nje usiku milele.
Utafiti huko Korea Kusini uligundua pia kuwa “mazoezi ya nguvu ya viungo katika nyumba za mazoezi zilizo na msongamano zinaweza kuongeza hatari ya maambukizi” ya virusi vya corona.
Wagombea saba wako katika kinyang’anyiro hicho cha kumrithi Nkurunziza, akiwemo Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye, mrithi aliyechaguliwa na rais, na mkuu wa upinzani Agathon Rwasa.
Nur ni gavana wa pili kutoka utawala wa Puntland kuuawa katika shambulizi la bomu la kujitoa muhanga katika kipindi cha miezi miwili.
Obama amesema anatarajia kuwa kila mhitimu... “atajikita katika maadili yenye kudumu, kama vile ukweli, uchapaji kazi, kuwajibika, uadilifu, ukarimu, na kuheshimu wengine.
Rais alisema katika barua aliyomtumia Spika wa Baraza la Wawakilishi Nancy Pelosi Ijumaa usiku kuwa “hana tena” kwa hali ilivyo “imani kamili” na Linick.
Biashara kwenye Masoko ya fedha ya Ulaya imeshuka leo Alhamisi kukiwa na ongezeko la hofu ya kwamba uchumi wa dunia bado unakabiliwa na hatari ya janga la virusi vya corona.
Ni Saudi Arabia pekee inayoipiku India katika ununuzi wa silaha za kigeni, gazeti hilo limeelezea katika ripoti yake.
Obama : "...wakati fikra ya ‘nini kinanisaidia mimi katika janga hili’ na ‘sijali kinacho waathiri watu wengine’ – fikra kama hizo ndio zinatawala katika serikali yetu.”
Na katika vipimo vya biashara vya hisa za Marekani, Dow Jones, S&P 500 na Nasdaq hali haikuwa mbaya kutokana na bishara kuwa juu kwa asilimia 1.
Ombi la awali lilikuwa kupata ufadhili wa dola bilioni 2, na shirika hilo limesema Alhamisi linahitaji jumla ya dola bilioni 6.7.
Na nchini Marekani biashara kwenye masoko ya fedha kwa vipimo vya Dow Jones, S&P 500 na Nasdaq ilifungwa jana jioni ikiwa imepanda kwa asilimia 0.8.
Wiki iliyopita Trump alikadiria kuwa vifo kutokana na virusi vya corona vitakuwa kati ya watu 60,000 na 70,000.
Thamani ya kipimo cha hisa cha Paris CAC-40 imeshuka kwa zaidi ya asilimia 4 na thamani ya kipimo cha hisa cha Frankfurt DAX imepata hasara ya asilimia 3.6 katikati ya siku wakati biashara ikiendelea.
“Ni bora nisitoe maoni hivi sasa juu ya hilo,” Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ijumaa alipoulizwa kuhusu Kim. “Tutakuwa na la kusema juu ya hilo katika wakati muwafaka.”
Huko Ulaya, thamani ya vipimo vya hisa vya London FTSE, Frankfurt DAX, Ujerumani na Paris CAC-40 vilianguka kwa zaidi ya asilimia 2 biashara ilipoanza mapema leo.
Mwakilishi wa WHO mjini Beijing Dkt Gauden Galea amesema alitarajia China itazungumzia ushirikiano na taasisi hiyo katika “siku za karibuni.”
Pandisha zaidi