No media source currently available
Wafuasi wa Rais wa zamani Donald Trump wadai upekuzi uliofanywa katika jengo la Rais ulikuwa na ushawishi wa kisiasa, lakini White House imeeleza kuwa madai hayo siyo kweli na hati hiyo ya upekuzi ilitolewa hadharani na Mwanasheria Mkuu.