Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 21:22

Waandamanaji wajitokeza nje kidogo ya Makao Makuu ya UN kulaani uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea Iran

Maandamano yafanyika kupinga serikali ya Iran kwa kile kinacho elezwa kuwa uvunjifu wa haki za binadamu.

Hata hivyo Iran imekuwa ikikosolewa kutoka ndani na nje ya nchi kwa mauaji ya raia wake ambao wamekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali. Maandamano haya yanafanyika nje kidogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani ambapo mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaendelea. Picha na mwandishi wetu Idd Ligongo


Makundi

XS
SM
MD
LG