Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 19:37

Trump awahimiza wafuasi wake wa Republikan kumpatia fursa mara nyingine kuliongoza taifa


Trump awahimiza wafuasi wake wa Republikan kumpatia fursa mara nyingine kuliongoza taifa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:52 0:00

Katika mkutano wa kampeni za Warepublikan, Rais wa zamani wa Marekani aliwahimiza wafuasi wake kumpatia fursa mara nyingine kuliongoza taifa.

Pia aliwarai wale ambao hawajaamua nani watampigia kura, akisisitiza kwamba amezisaida jamii za wachache na kwa mara nyingine kutilia shaka mchakato wa uchaguzi wa Marekani. Ungana na mwandishi wetu kwa taarifa kamili...

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG