No media source currently available
Mwanafunzi wa Tanzania anayesomea uhandisi katika chuo kikuu cha Kharkiv, Ukraine anaeleza hali ilivyo na kwamba hajaona dalili zozote za maisha yake kuwa hatarini katika mji anapoishi.