Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 20:51

Mpiga kura asema, Wayahudi watakuwa salama pale Wapalestina watapokuwa salama


Mpiga kura asema, Wayahudi watakuwa salama pale Wapalestina watapokuwa salama
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:44 0:00

Ikiwa imebakia siku majuma kadhaa kabla ya uchaguzi wa rais Marekani, raia wa nchi hiyo wanaoishi nchini Kenya wanafuatilia mazungumzo ya pande mbili za kisiasa zinazowania uongozi wa kisiasa wa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa duniani.

Sikiliza mahojiano ya mwandishi wetu Nairobi Kenya akimhoji Mmarekani-Myahudi anayeeleza masikitiko yake kuhusu mzozo unaoendelea wa Israel na Hamas. Endelea kusikiliza...⁣

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG