Profesa Macharia Munene aeleza hali ya uchaguzi Kenya ilikuwa ya utulivu na ni ishara ya kuonyesha nchi imekomaa kidemokrasia na pia imani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imani ya wananchi iko juu kutokana na tume kuwa wazi.
Mchambuzi aeleza jinsi Kenya ilivyokomaa kidemokrasia