Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 05:21

Mashabiki wa timu ya taifa ya Ivory Coast wakiwa tayari kushangilia mashindano ya AFCON⁣⁣ 2023

Mashabiki wa timu ya taifa ya Ivory Coast wakiwa tayari kushangilia mashindano ya AFCON⁣⁣ 2023
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:37 0:00

Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON, 2023: Kikundi hiki cha Zouglou kinachoitwa “Les grades du zouglou” kikiimbia timu ya taifa ya Ivory Coast, huko Cocody, jirani na Abidjan.⁣⁣

Mwandishi wa VOA Muqbil Yabarow alikuwa katika mji mkuu, Abidjan, ambapo alishuhudia shamrashamra hizi. ⁣⁣

Michuano ya 34 ya mashindano makubwa kabisa barani Afrika inaanza nchini Ivory Coast kuanzia tarehe 13 Januari hadi 11 Februari 2024 katika maeneo ya Yamoussoukro, Bouake, San Pedro, na Korhogo.⁣

Michuano ya 34 ya mashindano makubwa kabisa barani Afrika inaanza nchini Ivory Coast kuanzia tarehe 13 Januari hadi 11 Februari 2024 katika maeneo ya Yamoussoukro, Bouake, San Pedro, na Korhogo.⁣

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG