Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 05, 2025 Local time: 06:10

Lady Gaga na kikundi chake wakitumbuiza katika ufunguzi wa Olimpiki Paris 2024


Lady Gaga na kikundi chake wakitumbuiza katika ufunguzi wa Olimpiki Paris 2024
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:08 0:00

Lady Gaga akitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa Olimpiki Paris 2024, Paris nchini Ufaransa. Kanda ya video na Mwandishi wa VOA Annet Mugabo.

Lady Gaga ambaye ni mcheza filamu, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo ni Mmarekani anayeishi New York.

Sherehe hizo zilihudhuriwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe (hawako katika video) pamoja na nyota wengine maarufu duniani akiwemo muimbaji wa Marekani , Pharrell Williams, wanariadha kama nyota wa mpira wa tennis Serena Williams, kocha wa zamani wa Real Madrid kapteni wa timu ya Ufaransa Zinedine Zidane.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG