Jarida la wikiendi wiki hii linaangazia kongamano la chama cha demokrat ambalo limemthibitisha Kamala Harris kama mgombea rasmi wa urais wa chama hicho huku kampeni zikipamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa urais wa Marekani.
Kongamano la chama cha Demokrat jijini Chicago Marekani
Forum