Kenya: aftermath of Al Shabab attack
Hali baada ya mashambulio ya Al-Shabab Garissa Kenya

5
Kenya University Attack

6
Waumini wa kikristo wakisoma dua karibu na kanisa kuu la Holy Family Basilica mjini Nairobi kuwaomnbea waathiriwa.

7
Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu wakimsaidia mama baada ya kushuhudia mwili wa jamaa yake aliyeuliwa katika shambulizi la Alhamisi.

8
Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu wakimsaidia mama baada ya kushuhudia mwili wa jamaa yake aliyeuliwa katika shambulizi la Alhamisi.