Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 22:30

Jeshi la DRC lafanikiwa kuwafukuza waasi wa M23

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, lilifanikiwa tena kuwafukuza waasi wa M23 na katika maeneo kadhaa ya wilaya ya Rutshuru.

Waasi wa M23, ambao walikuwa wamekimbia kutoka DRC mwaka 2013, wamejikusanya na kuchukua udhibithi wa sehemu muhimu nchini DRC tangu jumatatu.

Umoja wa mataifa umesema kwamba zaidi ya watu 13,000 wamekimbia makwao na wengi wako kuingia Uganda kama wakimbizi kutokana na mapigano makali kati ya waasi hao wa M23 na wanajeshi wa serikali siku ya Jumatano.
Picha na Austere Malivika


Pandisha zaidi

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG