Siku ya uchaguzi, wapiga waliojiandikisha wanakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua mgombea uraia wa chama chao. Rais kimsingi ataamuliwa na mfumo maarufu unaoitwa kura wa wajumbe.
Kura za wajumbe inaundwa wa wawakillishi, au wapiga kura, ambao wametengwa kulinga na matokeo ya kupiga kura katika kila jimbo. Majimbo yenye idadi kubwa ya watu wana wapiga kura wengi zaidi. Majimbo yenye idadi ndogo ya watu yana wapiga kura wachache. Kushinda urais, mgombea lazima apate wingi wa kura za wajumbe kiasi the kura 270..
Wapiga kura halafu wanapiga kura zao mwezi mmoja baadaye. Lakini rais mpya hachukui madaraka mpaka atakapoapishwa mwishoni mwa mwezi Januari.
Forum