Vijana kutoka barani Afrika watuma ujumbe mbalimbali kwa Rais ajae atakaye chaguliwa kuongoza Marekani kutoka Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Burkina Faso na Ethiopia, kuhusu masuala muhimu ya kitaifa na kimataifa.
'Afrika imebeba mzigo mkubwa wa mabadiliko ya hali ya hewa..., ningetarajia fidia...'
Forum