Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Oktoba 04, 2024 Local time: 17:37

Mpiga kura wa Diaspora atoa maoni yake baada ya Kamala Harris kuingia katika kinyang'anyiro


Mpiga kura wa Diaspora atoa maoni yake baada ya Kamala Harris kuingia katika kinyang'anyiro
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:22 0:00

Kabla ya Kamala Harris kuingia katika kinyang’anyiro cha urais ukusanyaji maoni umeonyesha kuwa karibu nusu ya wapiga kura hawakuwa wanafurahishwa na wote Rais Biden na Rais wa zamani Trump.

April tulizungumza na mmoja wa wanachama wa Waafrika wanaoishi ughaibuni ambaye pia anafikiria kutopiga kura. Jeff Swicord hivi karibu alimtembelea tena kuona kama ugombea wa Kamala Harris umemfanya afikirie tena uamuzi wake. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG