Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 12:28

Museveni ametetea mwanawe Generali Muhoozi Kainerugaba kwa ujumbe wa siasa kwenye twiter


Museveni ametetea mwanawe Generali Muhoozi Kainerugaba kwa ujumbe wa siasa kwenye twiter
please wait

No media source currently available

0:00 0:09:10 0:00

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba haoni makosa yoyote kwa mwanawe kuzungumzia siasa za nchi hiyo licha ya kwamba sheria za nchi zinapiga marufuku wanajeshi kuzungumzia au kujihusisha na siasa. Kennes Bwire amefanya mahojiano na Nabende Wamoto mchambuzi wa siasa za Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba haoni makosa yoyote kwa mwanawe kuzungumzia siasa za nchi hiyo licha ya kwamba sheria za nchi zinapiga marufuku wanajeshi kuzungumzia au kujihusisha na siasa.

Museveni ambaye amekuwa na msimamo mkali sana kwa makamanda wake wa jeshi kuhusiana na siasa kiasi cha baadhi yao kushitakiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kuonyesha ishara za kujihusisha na siasa, amesema kwamba maafisa wa ngazi ya juu ya jeshi akiwemo mwanawe Muhoozi Kainerugaba hawataadhibiwa.

Kennes Bwire amefanya mahojiano na mchambuzi wa siasa za Uganda Nabende Wamoto.

Makundi

XS
SM
MD
LG