Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:54
VOA Direct Packages

Wananchi wa Afrika Mashariki watuma ujumbe wa amani kwa Rais Biden


Wananchi wa Afrika Mashariki watuma ujumbe wa amani kwa Rais Biden
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:43 0:00

Ujumbe wa mwananchi wa Afrika Mashariki kwa Rais Biden na Marekani akimsihi kusaidia maono ya vijana katika kudumisha amani katika bara la Afrika.

Pia usikose kuungana nasi kufuatilia Matangazo ya Sauti ya Amerika barani Afrika ya mkutano wa pili wa Viongozi wa Marekani na Afrika unaofanyika mjini Washington D.C, kuanzia Desemba 13-15. Rais Joe Biden atakuwa ni mwenyeji wa wakuu wa nchi 49 za Afrika na mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika mjini Washington wakihudhuria mkutano juu ya biashara, uwekezaji na maendeleo. Endelea kusikiliza repoti hii maalum. #VOAUSAfricaLeadersSummit #USAfricaLeadersSummit, #USAfricaLeadersSummit22

Makundi

XS
SM
MD
LG