Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:55

Wananchi wa Afrika Mashariki wamtumia ujumbe Rais Biden


Wananchi wa Afrika Mashariki wamtumia ujumbe Rais Biden
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:54 0:00

Mahojiano maalum na baadhi ya wananchi kuhusu Mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika. Ujumbe wa wananchi wa Afrika Mashariki kwa Rais Biden na Marekani kwa ujumla.

Rais Joe Biden atakuwa ni mwenyeji wa wakuu wa nchi 49 za Afrika na mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika mjini Washington wakihudhuria mkutano juu ya biashara, uwekezaji na maendeleo. Endelea kusikiliza repoti hii maalum. #VOAUSAfricaLeadersSummit #USAfricaLeadersSummit, #USAfricaLeadersSummit22

Makundi

XS
SM
MD
LG