No media source currently available
Wakimbizi wanaoishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaeleza hali ngumu wanayopitaia kutokana na ukosefu wa huduma za msingi ikiwepo sehemu ya makazi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili.