Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 16:32

UN na jeshi la Congo lashirikiana kuwadhibiti waasi wa M23

Jeshi la Umoja wa Mataifa la Monusco nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameanza ushirikiano mpya na jeshi tiifu la serikali ya nchi hiyo katika operesheni dhidi ya waasi wa M23 wilayani Rutshuru, Kivu kaskazini.

Hii ni kufuatia malalamiko ya wananchi wakidadisi ni kwa nini M23 imekuwa na nguvu wakati DRC inawashirika wake wakiwemo Umoja wa Mataifa.

Makundi

XS
SM
MD
LG