Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 18:50
VOA Direct Packages

Umoja wa Ulaya yajipanga kukabili ushindani Afrika dhidi ya Russia na China


Umoja wa Ulaya yajipanga kukabili ushindani Afrika dhidi ya Russia na China
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:17 0:00

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamewaalika viongozi yapata arubaini katika mkutano wa siku mbili katika juhudi za kufufua ushirikiano na kuleta ushindani dhidi ya Russia na China ambazo zimewekeza tayari katika miundombinu ya bara hilo.

Makundi

XS
SM
MD
LG