Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 21, 2024 Local time: 16:53

Ukraine iko tayari kwa mazungumzo na Rashia wakati mapigano yakiendelea

Rais Volodymyr Zelensky amasema yuko tayari kwa mzungumzo ya amani bila ya masharti yeyote na Rashia kwenye mpaka wake na Belarus katika eneo maalum karibu na Chernobil, baada ya kua na mazungumzo na rais wa Belarus Alexander Lukashenko Jumapili.

Rais Zelensky anasema Belerus haiwezi kua mweneyji wa mazungumzo kwa sababu Rashia imetumia nchi hiyo kuanzisha uvamizi dhidi ya nchi yake.
Rais Vladimir Putin amesema kwamba tayari kuna ujumbe wa Rashia katika mji wa Gomel nchini Belarus tayari kwa ajili ya mazungumzo.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG