Uchaguzi huo utakaofanyika Alhamisi tarehe 18 Februari unatarajiwa kutoa ushindani mkubwa hasa kati ya chama twala cha NRM chake Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake wa chama cha upinzani cha FDC, Dkt Kizza Besigye.
Siku ya Mwisho ya Kampeni, Uganda

1
Sunday Shomari akimhoji mmoja ya waandamanaji.

2
Dr.Besigye akisisitiza jambo.

3
Dr.Kiza Besigye akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kabla ya kukamilisha kampeni akiishutumu tume ya uchaguzi kwa upendeleo.

4
Kijana aliyejeruhiwa na polisi akionyesha jeraha lake.