Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 21, 2024 Local time: 20:48

Wapiga kura Uganda wajiandaa kwa Uchaguzi.


Rais Yoweri Museveni wa Uganda(kushoto), na mpinzani wake wa chama cha upinzani cha FDC, Dkt Kizza Besigye(kulia)
Rais Yoweri Museveni wa Uganda(kushoto), na mpinzani wake wa chama cha upinzani cha FDC, Dkt Kizza Besigye(kulia)

Wapiga kura wa Uganda na hasa wakazi wa Jiji kuu la Kampala Jumatatu waliendelea kujianda vilovyo kwa uchaguzi mkuu wa Alhamisi.

Wakazi wa Jiji la Kampala Jumatatu walikuwa katika hali ya kujiandaa kwa Uchaguzi huku kila mgombea akijitahidi kufanya kampeni za mwisho kuvutia wapiga kura upande wake.

please wait

No media source currently available

0:00 0:04:44 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Uchaguzi huo utakaofanyika Alhamisi tarehe 18 Februari unatarajiwa kutoa ushindani mkubwa hasa kati ya chama twala cha NRM chake Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake wa chama cha upinzani cha FDC, Dkt Kizza Besigye. Sunday Shomari akiwa Kampala ameandaa ripoti kamili ainayosomwa na Mary Mgawe.

XS
SM
MD
LG