Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 24, 2025 Local time: 22:37
VOA Direct Packages

Taasisi ya Confucius ya China yatoa mafunzo ya mandarin Afrika Kusini


Taasisi ya Confucius ya China yatoa mafunzo ya mandarin Afrika Kusini
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:15 0:00

China yajitangaza Afrika Kusini kwa kuonyesha nguvu mpya kwenye taasisi mpya ya Confucius, huku ikisukuma mbele utamaduni wake na kutengeneza fursa kwa kufundisha lugha ya Mandarin nchini Afrika Kusini.

China pia inatumia taasisi hiyo hivi sasa kutengeneza fursa nyingi zinazohitaji kupitia matumizi ya lugha hiyo. Endelea kusikiliza ripoti kamili...

Makundi

XS
SM
MD
LG