Michuano ya kombe la dunia inatarajia kuanza Novemba 20 mwenyeji Qatar atachuana na Equador katika uwanja wa Al-Bait, mjini Al khour na fainali itapigwa Decemba 18 katika uwanja wa Lusail mjini Doha. Timu 22 zitachuana katika kombe ambalo linashikiliwa na Ufaransa iliotwaa mwaka 2018.