Marekani imetaka ushauri kutoka kwa serikali ya New Zealand. Rais Joe Biden alimwambia Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern aliyefanikiwa kupiga marufuku umiliki holela wa bunduki angependa kupata ushauri wake. Endelea kusikiliza...
Marekani yachukua ushauri wa kudhibiti umiliki wa silaha holela kutoka New Zealand