Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 20:14
VOA Direct Packages

Marekani: Trump atangaza nia ya kugombea urais 2024, anadi sera zake


Marekani: Trump atangaza nia ya kugombea urais 2024, anadi sera zake
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:42 0:00

Donald Trump ni mgombea rasmi wa kwanza ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Marekani mwaka 2024. Anatumia hilo kuuza maono yake ya Marekani. Trump mara kwa mara anazungumzia masuala kadhaa kijuujuu tu.

Hivi sasa, Rais wa zamani Donald Trump macho yake yako mwaka 2024, anajigamba kwa rekodi yake ya uongozi katika awamu ya kwanza ya urais, pamoja na mipango ya sera.

Makundi

XS
SM
MD
LG