Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 17:48

Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL): Timu ya Seydou Athletic Club yaanza vyema


Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL): Timu ya Seydou Athletic Club yaanza vyema
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:46 0:00

Timu ya mpira wa kikapu ya Seydou Athletic Club ya Guinea imeanza vyema michuano ya klabu bingwa barani Afrika BAL baada ya kuwabwaga timu mwenyeji Dakar University Club DUC kwa jumla ya pointi 85-70 katika mechi ya ufunguzi katika uwanja wa Dakar Arena Machi 5, 2022.

Makundi

XS
SM
MD
LG