Msimu wa pili wa ufunguzi wa mashindano ya Ligi ya mabingwa wa mpira wa kikapu Afrika, BAL itaanza huko Dakar, Senegal wiki ijayo. Michuano hii ya wiki 12 kuanzia Machi 5 itaonyesha mechi zitakazo chezwa katika miji mbalimbali barani Afrika.
Timu 12 zikiingia katika kinyang’anyiro cha kutafuta ubingwa. VOA imezungumza na mashabiki katika nchi za Afrika…