Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 00:59

Kwa nini kulia na kushoto kuna maana ya kisiasa?


Kwa nini kulia na kushoto kuna maana ya kisiasa?
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:06 0:00

Mgawanyiko kati ya wenye mrengo wa kulia na kushoto ni msingi mkuu wa kutofautisha kisiasa.

Lakini umewahi kuacha kufikiria kwa nini tunatumia matamko hayo ya mrengo kuelezea kambi za kiitikadi? Inaweza kukushangaza kujua ya kwamba misamiati hii inahistoria katika mipangilio ya vikao vya mapinduzi ya Ufaransa kwa miaka 200 iliyopita.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG