Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 18:20
VOA Direct Packages

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani aunga mkono maandamano yanayoendelea Iran


Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani aunga mkono maandamano yanayoendelea Iran
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:31 0:00

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amevunja ukimya wake kuhusu maandamano yanayoendelea kote nchini Iran na kupinga hukumu ya kifo inayotolewa na serikali ya Iran dhidi ya waandamanaji.

Papa Francis ameunga mkono maandamano hayo akisema ni maandamano yanayotaka kuwepo heshima na haki za wanawake.

Endelea kusikiliza repoti kamili kuhusu mgogoro huo wa Iran.

Makundi

XS
SM
MD
LG