Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Soko kuu la Westgate mjini Nairobi lashambuliwa

1
Wanajeshi na polisi wenye silaha anawasaka washambuliaji wenye bunduki waloshambulia soko kuu la Westgate shopping centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013.

2
Mwanamke aliyejeruhiwa akilia kuomba msaada pale washambuliaji walipovamia soko la Westgate shopping mall in Nairobi, Septemba 21, 2013.

3
Polisi mweye bunduki awatafuta wateja walojificha ndani ya choo huku akiwasaka washambulizi kwenye soko la Westgate shopping centre Nairobi, September 21, 2013.

4
Wahudumu wa kwanza wamsaidia mtu aliyejeruhiwa baada ya shambulio la bunduki katika soko laWestgate shopping centre, mjini Nairobi Septembea 21, 2013.