Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Soko kuu la Westgate mjini Nairobi lashambuliwa

5
Polisi wenye silaha wanawasaka washambuliaji wenye silaha ndani ya soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.

6
Watu wakimbia kujificha wakati polisi wanawasaka washambuliaji walovamia kwa bunduki soko la Westgate jijini Nairobi, Septemba 21, 2013.

7
Polisi wajificha ili kujikinga kutokana na shambulio la bunduki katika soko la Westgate ambako washambuliaji wenye bunduki walishambulia na kuchukua baadhi ya wateja mateka mjini Nairobi Septemb 21, 2013.

8
Polisi aliyejeruhiwa akijishika mahala alipopigwa risasi huku mwenzake akimlinda na kuwasaka washambuliaji katika soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.