Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 22:24

Kenya: Serikali yawaomba marubani wa ndege waliogoma kurudi kazini


Kenya: Serikali yawaomba marubani wa ndege waliogoma kurudi kazini
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:36 0:00

Mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways lasabibisha kukwama kwa mamia ya safari na bidhaa za kilimo kutoweza kusafirishwa ikiwa ni adha kubwa kwa wafanyabiashara mazao yao kuharibika ambao wanasema mgomo huu utawakosesha pia fursa ya kuendelea kufanya biashara na mataifa ya nje.

Kwa upande wa serikali ya Kenya Waziri wa Kilimo amewaomba marubani hao kusitisha mgomo kwa maslahi ya taifa. Hii hapa ni habari kamili...

Makundi

XS
SM
MD
LG