Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 22:04
VOA Direct Packages

Jeshi la Ukraine laeleza changamoto za kupambana na majeshi ya Russia


Jeshi la Ukraine laeleza changamoto za kupambana na majeshi ya Russia
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:30 0:00

Kundi la mamluki la Russia, Wagner, lilitangaza mafanikio mapya katika mapambano katika mji wa Bakhmut, Mashariki mwa Ukraine mwishoni mwa wiki.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya kina kutoka kwa mmoja wa wanajeshi ambaye anataarifa za mstari wa mbele kuhusu mapambano na changamoto za wanajeshi wa Ukraine katika kukabiliana na mamluki na majeshi ya Russia.

Makundi

XS
SM
MD
LG